Naomba kufahamishwa kuhusu shirika la International Rescue Committee (IRC)

Naomba kufahamishwa kuhusu shirika la International Rescue Committee (IRC)

Boeing787-8

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2018
Posts
1,155
Reaction score
1,209
Wakuu hope mko poa

Naomba kujua hili shirika la international rescue committee (IRC) indeep, Lina-deal na kazi gani, na je wako fear kwenye kazi zao,

Mwisho naomba kujua jinsi ya ku-create profile, nimejaribu naona ina ugumu Fulani.

Sorry kwa badwritting, nimeazima smartphone
 
Hii ni humanitarian organization mkuu, kazi yao kubwa sana kwa Tanzania wao wame base kwenye makambi ya wakimbizi. Hata hapa Tanzania, ofisi zao zipo kwenye makambi ya wakimbizi.

Kwa hiyo wanatoa na kusimamia huduma kama za afya, elimu, huduma za kiuchumi, etc kwa wale wakimbizi ambao wapo kwenye haya makambi.

In terms of maslahi they are good, wao scales zao ni international kama vile mashirika ya UN. Kama ni mtu ambae unapenda kazi za "humanitarian" basi uta-enjoy sana kufanya nao kazi.

Boeing787-8
 
Hii ni humanitarian organization mkuu, kazi yao kubwa sana kwa Tanzania wao wame base kwenye makambi ya wakimbizi. Hata hapa Tanzania, ofisi zao zipo kwenye makambi ya wakimbizi....
Mkuu kwakweli uwa nafufahi unavyojitahidi kujibu thread, thanks Sana lakini nasikia kupata kazi hapo so mchezo
 
Mkuu kwakweli uwa nafufahi unavyojitahidi kujibu thread, thanks Sana lakini nasikia kupata kazi hapo so mchezo
Yes, wao wako merit-based. Wana interviews ambazo ni konki, na hakuna mambo ya kujuana. Wakiku shortlist unapigwa interviews za kutosha kuhakikisha kuwa uko competent katika kazi unayoomba. Uzuri ni no kujuana.
 
Apo vizuriii, sema wako mbali ukiitwa uko kigoma afu husipate utakoma
 
Back
Top Bottom