Boeing787-8
JF-Expert Member
- Aug 16, 2018
- 1,155
- 1,209
Mkuu kwakweli uwa nafufahi unavyojitahidi kujibu thread, thanks Sana lakini nasikia kupata kazi hapo so mchezoHii ni humanitarian organization mkuu, kazi yao kubwa sana kwa Tanzania wao wame base kwenye makambi ya wakimbizi. Hata hapa Tanzania, ofisi zao zipo kwenye makambi ya wakimbizi....
Yes, wao wako merit-based. Wana interviews ambazo ni konki, na hakuna mambo ya kujuana. Wakiku shortlist unapigwa interviews za kutosha kuhakikisha kuwa uko competent katika kazi unayoomba. Uzuri ni no kujuana.Mkuu kwakweli uwa nafufahi unavyojitahidi kujibu thread, thanks Sana lakini nasikia kupata kazi hapo so mchezo
Apo vizuriii, sema wako mbali ukiitwa uko kigoma afu husipate utakomaYes, wao wako merit-based. Wana interviews ambazo ni konki, na hakuna mambo ya kujuana. Wakiku shortlist unapigwa interviews za kutosha kuhakikisha kuwa uko competent katika kazi unayoomba. Uzuri ni no kujuana.