kwa uelewa wangu mchache,unaweza soma sound kama art subject ili uwe mtaalamu na mbunifu wa sound na unaweza soma sound kama somo la ki-science ile uje kuwa mwanasayansi aliyebobea ktk sound.
nasikia ukisoma sound kama science ni balaa, hesabu zake ni physics tupu,kama hukupata msingi mzuri wa somo la hesabu,hata usijaribu.ila uamuzi ni wako.
maswali ya msingi.je hapa tz tuna vyuo vyenye facility za kutosha kumuandaa mwanafunzi kuwa pro sound engineer/scientist?.
fursa zake za ajira zipoje?.ndio hizi za kurokodi miziki ya bongo fleva?.sidhani,ni zaidi ya hapo.je zipo hapa bongo?.tutafakari.