Baraker_88
Member
- Nov 7, 2021
- 35
- 88
Habari Wana ujenzi! Natumaini mko salama.
Nimekuwa nikipita katika baadhi ya mikoa kadhaa ambayo Ina Miamba mikubwa ya Mawe mfano Mwanza, singida, Dodoma etc na kushudia wakiitumia Miamba hio kuzalisha mchanga, kokoto, mawe ya kujengea msingi, etc.
Je, hakuna Sehem ambazo hutumia Miamba hii ya Mawe kwaajil ya kutengeneza blocks kwaajil ya ujenzi?
Je, vipi kuhusu swala la kiusalama /uzito endapo ukazizalisha na kuzitumia blocks hizo kwenye ujenzi?