Baraker_88
Member
- Nov 7, 2021
- 35
- 88
Unaishi mkoa gani,kama unaishi arusha nichekiHabari Wana ujenzi! Natumaini mko salama.
Nimekuwa nikipita katika baadhi ya mikoa kadhaa ambayo Ina Miamba mikubwa ya Mawe mfano Mwanza, singida, Dodoma etc na kushudia wakiitumia Miamba hio kuzalisha mchanga, kokoto, mawe ya kujengea msingi, etc.
Je, hakuna Sehem ambazo hutumia Miamba hii ya Mawe kwaajil ya kutengeneza blocks kwaajil ya ujenzi?
Je, vipi kuhusu swala la kiusalama /uzito endapo ukazizalisha na kuzitumia blocks hizo kwenye ujenzi?
Tofali za miamba zinapatikana moshi holili....wakazi wa moshi wanazitumia sana kujengea uzio
Kuta za mawe unaweza kujenga nyumba imara sana, na wazee wetu wa zamani wala hawakutumia simenti, bali udongo wa mfinyanzi.Habari Wana ujenzi! Natumaini mko salama.
Nimekuwa nikipita katika baadhi ya mikoa kadhaa ambayo Ina Miamba mikubwa ya Mawe mfano Mwanza, singida, Dodoma etc na kushudia wakiitumia Miamba hio kuzalisha mchanga, kokoto, mawe ya kujengea msingi, etc.
Je, hakuna Sehem ambazo hutumia Miamba hii ya Mawe kwaajil ya kutengeneza blocks kwaajil ya ujenzi?
Je, vipi kuhusu swala la kiusalama /uzito endapo ukazizalisha na kuzitumia blocks hizo kwenye ujenzi?
Arusha zinapatikana wapi?Unaishi mkoa gani,kama unaishi arusha nicheki