Naomba kufahamishwa kuhusu uku wa mayai aina ya layers

Naomba kufahamishwa kuhusu uku wa mayai aina ya layers

Pisi kali

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2019
Posts
1,234
Reaction score
2,535
Hello wakulungwa

Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers
Nataka kufuga kuku 1000 layers
Kampuni Interchic.

Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n madawa (starter grower finisher nk)
Changamoto zake nk

Nb: nafuga wa nyama nina uzoefu na hao
 
Hello wakulungwa

Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers
Nataka kufuga kuku 1000 layers
Kampuni Interchic
Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n madawa (starter grower finisher nk)
Changamoto zake nk

Nb: nafuga wa nyama nina uzoefu na hao
Wataka kuku au wewe ndo unauza kuku nyoosha maelezo, siku hizi mtu awe bayana kupata wsteja.
 
Hongera sana, umewaza jambo nzuri sana. Huo ni mradi mzuri ambao utakuletea matokeo chanya hapo baadae.

Kwa kuku 1,000 hao ni wengi sana kwa kuanza nao na inabidi ujipange kweli kweli la sivyo utafeli na kuhisi umerogwa kumbe hamna. Kuku 1,000 itakupasa uwe na banda kubwa, imara na zuri. Kama tayari utakuwa na banda basi andaa kiasi kisicho pungua Tsh 15M kwa kulea vifaranga wa layers mpaka kufikia hatua ya kutaga. Kwa wastani kuku mmoja hutumia gharama ya Tsh 15k mpaka kufikia hatua ya kutoa yai.

Ushauri wangu unaweza anza mdogo mdogo ata na kuku 300 huku ukiendelea kujifunza na kupata uzoefu, utakuwa unaongeza mdogo mdogo mpaka kufikia idadi unayo itaka. Kabla ya kuanza tafuta elimu kuhusu namna ya kuwafuga hao kuku, ni mradi mzuri sana endapo ukiwa makini.
 
Hongera sana, umewaza jambo nzuri sana. Huo ni mradi mzuri ambao utakuletea matokeo chanya hapo baadae.

Kwa kuku 1,000 hao ni wengi sana kwa kuanza nao na inabidi ujipange kweli kweli la sivyo utafeli na kuhisi umerogwa kumbe hamna. Kuku 1,000 itakupasa uwe na banda kubwa, imara na zuri. Kama tayari utakuwa na banda basi andaa kiasi kisicho pungua Tsh 15M kwa kulea vifaranga wa layers mpaka kufikia hatua ya kutaga. Kwa wastani kuku mmoja hutua gharama ya Tsh 15k mpaka kufikia hatua ya kutoa yai.

Ushauri wangu unaweza anza mdogo mdogo ata na kuku 300 huku ukiendelea kujifunza na kupata uzoefu, utakuwa unaongeza mdogo mdogo mpaka kufikia idadi unayo itaka. Kabla ya kuanza tafuta elimu kuhusu namna ya kuwafuga hao kuku, ni mradi mzuri sana endapo ukiwa makini.
Well said
 
Hongera sana, umewaza jambo nzuri sana. Huo ni mradi mzuri ambao utakuletea matokeo chanya hapo baadae.

Kwa kuku 1,000 hao ni wengi sana kwa kuanza nao na inabidi ujipange kweli kweli la sivyo utafeli na kuhisi umerogwa kumbe hamna. Kuku 1,000 itakupasa uwe na banda kubwa, imara na zuri. Kama tayari utakuwa na banda basi andaa kiasi kisicho pungua Tsh 15M kwa kulea vifaranga wa layers mpaka kufikia hatua ya kutaga. Kwa wastani kuku mmoja hutumia gharama ya Tsh 15k mpaka kufikia hatua ya kutoa yai.🤷‍♂️

Ushauri wangu unaweza anza mdogo mdogo ata na kuku 300 huku ukiendelea kujifunza na kupata uzoefu, utakuwa unaongeza mdogo mdogo mpaka kufikia idadi unayo itaka. Kabla ya kuanza tafuta elimu kuhusu namna ya kuwafuga hao kuku, ni mradi mzuri sana endapo ukiwa makini.
Means kuku 300 nice na 4,500,000.00 halo bado kuwanunua siyo
 
Hiyo pesa imejumuisha bei ya kununua kifaranga, chakula madawa na mengineyo mpaka kwa muda wa miezi sita ambapo wataanza kutanga na kujihudumia wenyewe. Muhimu uwe na banda ambalo liko tayari pamoja na vifaa vya kulishia.
Means kuku 300 nice na 4,500,000.00 halo bado kuwanunua siyo
 
Back
Top Bottom