Wataka kuku au wewe ndo unauza kuku nyoosha maelezo, siku hizi mtu awe bayana kupata wsteja.Hello wakulungwa
Naombeni abcde..z kuhusu kuku wa mayai aina ya layers
Nataka kufuga kuku 1000 layers
Kampuni Interchic
Hadi waanze kutaga maximum nitakua nimetumia kiasi gani kwenye chakula n madawa (starter grower finisher nk)
Changamoto zake nk
Nb: nafuga wa nyama nina uzoefu na hao
Well saidHongera sana, umewaza jambo nzuri sana. Huo ni mradi mzuri ambao utakuletea matokeo chanya hapo baadae.
Kwa kuku 1,000 hao ni wengi sana kwa kuanza nao na inabidi ujipange kweli kweli la sivyo utafeli na kuhisi umerogwa kumbe hamna. Kuku 1,000 itakupasa uwe na banda kubwa, imara na zuri. Kama tayari utakuwa na banda basi andaa kiasi kisicho pungua Tsh 15M kwa kulea vifaranga wa layers mpaka kufikia hatua ya kutaga. Kwa wastani kuku mmoja hutua gharama ya Tsh 15k mpaka kufikia hatua ya kutoa yai.
Ushauri wangu unaweza anza mdogo mdogo ata na kuku 300 huku ukiendelea kujifunza na kupata uzoefu, utakuwa unaongeza mdogo mdogo mpaka kufikia idadi unayo itaka. Kabla ya kuanza tafuta elimu kuhusu namna ya kuwafuga hao kuku, ni mradi mzuri sana endapo ukiwa makini.
Means kuku 300 nice na 4,500,000.00 halo bado kuwanunua siyoHongera sana, umewaza jambo nzuri sana. Huo ni mradi mzuri ambao utakuletea matokeo chanya hapo baadae.
Kwa kuku 1,000 hao ni wengi sana kwa kuanza nao na inabidi ujipange kweli kweli la sivyo utafeli na kuhisi umerogwa kumbe hamna. Kuku 1,000 itakupasa uwe na banda kubwa, imara na zuri. Kama tayari utakuwa na banda basi andaa kiasi kisicho pungua Tsh 15M kwa kulea vifaranga wa layers mpaka kufikia hatua ya kutaga. Kwa wastani kuku mmoja hutumia gharama ya Tsh 15k mpaka kufikia hatua ya kutoa yai.🤷♂️
Ushauri wangu unaweza anza mdogo mdogo ata na kuku 300 huku ukiendelea kujifunza na kupata uzoefu, utakuwa unaongeza mdogo mdogo mpaka kufikia idadi unayo itaka. Kabla ya kuanza tafuta elimu kuhusu namna ya kuwafuga hao kuku, ni mradi mzuri sana endapo ukiwa makini.
Means kuku 300 nice na 4,500,000.00 halo bado kuwanunua siyo