Naomba kufahamishwa kuhusu vocha za simu

Naomba kufahamishwa kuhusu vocha za simu

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,549
Reaction score
4,133
Tangu zaman tumekuwa tukitumia vocha....na vocha ni codes. tangu nimiliki sim. ni miaka 10+now.... na ninejarbu kubashir lkn
nimekosa.....

1.je ni njia gan inatumika ku create hizi codes?

2. kwan haziishi .....

3. n kwel kam zinasafirishwa kwa umbal mrefuzina kuwa locked? I mean kama zimeibwa
zisiweze kutunika...?

4. je ikitokea codes kuisha....nn hufanyik
 
mkuu kama umesoma probability usingeuliza hili swali, ni combination tu za kihesabu zinatumika.
 
Tangu zaman tumekuwa tukitumia vocha....na vocha ni codes. tangu nimiliki sim. ni miaka 10+now.... na ninejarbu kubashir lkn
nimekosa.....

1.je ni njia gan inatumika ku create hizi codes?

2. kwan haziishi .....

3. n kwel kam zinasafirishwa kwa umbal mrefuzina kuwa locked? I mean kama zimeibwa
zisiweze kutunika...?

4. je ikitokea codes kuisha....nn hufanyik

Mkuu vocha zinatoka kwa batch unaweza ukaiba vocha zinazosafirishwa lakini hautaweza kuzitumia mpaka ziwe activated based on batch #
 
maisha magumu jamani kah ivi unaka ubashiri zile namba 14 kweli kisa mia5 tu au buku jamani kaah...
 
Mkuu huwezi kubashiri hata kidogo labda uwe unazijua btch code zinazofatia badala ya zile za nyuma na pi machine ikianza kukadiria namba mpya basi zifanane na zako ambazo ulizibashiei japo ni kitu kigumu sana inahitaji hesabu za kiwango cha juu sana hasa kama ulisoma kidogo hesabu za prblt usingeukiza ni mfumo wa kimahesabu tu hufanyika na ndio mana haziingiliani
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom