mwenye shamba
JF-Expert Member
- May 31, 2015
- 978
- 1,766
Tafta azolla af shudu kiaina
Nyasi fanya kuzikatakata na uzilowanishe kwa maji ya chumvi ya magadi kisha mpe ng'ombe.
Mwzi mmoja tu utakuja PM
Hii ni biashara kama biashara nyingine. Swali langu kwako,ni kwanini umeamua kuingia kwenye hii biashara?Waungwana salaam!
Napenda kufahamu kwa undani kuhusu unenepeshaji wa ng'ombe.
1.mchanganyiko wa chakula
2.kiasi anachokula ng'ombe kwa siku
3.nyasi ale kiasi gani au asile kabisa?
4.ili asizidishe gharama za uendeshaji auzwe muda gani tangu kuanza kunenepeshwa?
Asante kwa mchanganuo huu. Naomba kujua quantity gani anapatiwa kila ngombe kwa siku?Kuchanganya chakula kwenye kilo 100
Pumba 70%
Mashudu 25%
Mineral-2.5
Salt-2.5
Pia kama wanagraze au unawakatia majani wakati wa mchana
Kunenepesha ni miezi mitatu hadi minne
Pia kingine cha kuzingatia ng'ombe awe mkubwa kwa umri na asiwe ndama
Quantity ni 2-4kg kwa siku ya hzo concentrate alizokupa mkuu hapo plus majani na maji mengiAsante kwa mchanganuo huu. Naomba kujua quantity gani anapatiwa kila ngombe kwa siku?