Peshawar_73
New Member
- Aug 12, 2024
- 1
- 3
Kwa wataalam wa masuala ya anga, naomba kufahamishwa kwanini ndege (planes) zikiwa safarini angani baadhi huacha alama kama moshi fulani hivi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Contrails" Ni mvuke unaotokana na kuungua kwa mafuta ya ndege(mafuta ya taa kwa kisasi kikubwa) kisha kuganda kuwa barafu kwa sababu ya baridi kali huko juu.
View: https://www.youtube.com/watch?v=qdFSDAUTons
Mbona unasikitika mkuuDaaaahhh
Au sio mkuu😂😂Umezaliwa mwaka gani na unaishi wapi? Nikijua hayo nitajua level ya exposure yako.
Nimewakuta wanaume kama 7 hivi last Friday mchana mitaa ya Magomeni wakionyeshana ndege mbili zilizokuwa zinapita mitaa hiyo kutoka SA kuelekea North wakasema "...tazama Israel hakutakalika leo ...yale ni makombora na maroketi kutoka Yemen na Iran kwenda Israel"Kwa wataalam wa masuala ya anga, naomba kufahamishwa kwanini ndege (planes) zikiwa safarini angani baadhi huacha alama kama moshi fulani hivi?
Nimewakuta wanaume kama 7 hivi last Friday mchana mitaa ya Magomeni wakionyeshana ndege mbili zilizokuwa zinapita mitaa hiyo kutoka SA kuelekea North wakasema "...tazama Israel hakutakalika leo ...yale ni makombora na maroketi kutoka Yemen na Iran kwenda Israel"
🤣Watu kama hao ni kuwaombea Mungu awape ufahamu🤣🤣
Mimi huwa nabaki kuwahurumia, na watu wa aina hiyo huwa ni wabishi mnooooWatu kama hao ni kuwaombea Mungu awape ufahamu🤣🤣
Halafu kuna wale wanaosema hizo ni roketi zinaenda mwezini 😂Nimewakuta wanaume kama 7 hivi last Friday mchana mitaa ya Magomeni wakionyeshana ndege mbili zilizokuwa zinapita mitaa hiyo kutoka SA kuelekea North wakasema "...tazama Israel hakutakalika leo ...yale ni makombora na maroketi kutoka Yemen na Iran kwenda Israel"
Ni kweli kuna haya maajabu lakini kuna mwaka kuna ajali ilitaka kutokea Nairobi angani 👉 Near mid-air crash puts Kenya and Ethiopia on a collision courseHalafu cjui n kwann ukiwa Dar, ndege zote zinazotoa huo mvuke hua zinatoka south kwenda north and verse versa, Na ukiwa Arusha ndege zote zinazotoa huo mvuke hua zinatoka West kwenda east and verse versa.
Mara nyingi ndege inakuwa inakatiza tu kwenye anga letu ndio maana ipo kwenye anga za juu kabisa,ila za hapa jirani hazifiki huko juu sanaHalafu kuna wale wanaosema hizo ni roketi zinaenda mwezini 😂
Halafu cjui n kwann ukiwa Dar, ndege zote zinazotoa huo mvuke hua zinatoka south kwenda north and verse versa, Na ukiwa Arusha ndege zote zinazotoa huo mvuke hua zinatoka West kwenda east and verse versa.
Kwa kuongezea ndege zinazopita chini ya futi 30000, hakuna mvuke kuganda kwani sio baridi sana, ila ndege yoyote above 30000 feet mvuke huo hujitokeza! Ila hizi ATR/ pangaboi ni shida sana kupita umbali huo!! NawasilishaNi mbuke inaotoka kwenye engine. Sasa kutokana na kuwa ndege ipo angani kuna baridi kali mvuke huo unapotoka na kukutana na hewa ya baridi hutokea condensation (kitendo cha kubadilika gas kuwa maji au mtonesho).
Haya maji kutokana na ubaridi mkali huganda na kuwa kama barafu na ndio unaona inabaki nyuma kama moshi mweupe ila kiufupi ule ni mvuke uliobadilika kuwa maji lakini yakaganda kutokana na hewa kuwa na ubaridi mkali.
Note: Kadiri altitude inavyoongezeka ndivyo hewa hupoteza hali yake ya kuwa na ujoto na kupata ubaridi zaidi. So joto unalilisikia hapo ulipo kwenye uso wa dunia linaweza kuwa limepungua kwa 0.5°C mpaka 1°C kwa kila meter 100 kutoka uso wa dunia.
Wana njia zao na pia hufika mahali ndege hukata konaHalafu kuna wale wanaosema hizo ni roketi zinaenda mwezini 😂
Halafu cjui n kwann ukiwa Dar, ndege zote zinazotoa huo mvuke hua zinatoka south kwenda north and verse versa, Na ukiwa Arusha ndege zote zinazotoa huo mvuke hua zinatoka West kwenda east and verse versa.
😄😄 watu wa vijiweni wazinguzi... kuna jamaa wa stendi Arusha nilikuta wanasema umbali toka Italy hadi Sudan ni sawa na kutoka Arusha hadi Singida.Nimewakuta wanaume kama 7 hivi last Friday mchana mitaa ya Magomeni wakionyeshana ndege mbili zilizokuwa zinapita mitaa hiyo kutoka SA kuelekea North wakasema "...tazama Israel hakutakalika leo ...yale ni makombora na maroketi kutoka Yemen na Iran kwenda Israel"
Hii wamekosea kidogo, Italy - Sudan ni sawa na Babati - Singida😄😄 watu wa vijiweni wazinguzi... kuna jamaa wa stendi Arusha nilikuta wanasema umbali toka Italy hadi Sudan ni sawa na kutoka Arusha hadi Singida.