Moto wa volcano
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 2,682
- 6,638
Ngoja Wahaya waje kutujuzaHivi karibuni nikiwa katika peruzi mtandaoni nilikutana na picha inayoonesha pesa za Uganda zikiwa zimeandikwa kwa lugha ya kiswahili
Swali langu Je lugha ya kiswahili inatambulika kisheria katika nchi yao , lakini naona kama wa Uganda wenyewe hawakizingatii sana kiswahili
Ok nimekusoma mkuuBaada ya Luganda/kiganda ambayo ni lugha kubwa kutoka kwenye kabila la wabaganda,wanatumia Kiingereza kama official language.Lakini kiswahili pia ji kama lugha ya tatu kwa kuwa kinazungumzwa na makabila yote kwa anayekijua,kama kiingerezq.
Zaidi kinafundishwa mashuleni,vyuoni hivyo kinazidi kusambaa kwa kasi ukizingatia pia wakenya na watanzania wengi wanaishi ama kutembelea na kusoma Uganda.
Wanasiasa,polisi na wanajesho asilimia kubwa wanaongea kiswahili,hivyo ni lugha rasmi kama ilivyo kiingereza.
Halafu inashangaza kimataifa nafasi za kufundisha kiswahili huwa wanapata wakenya wakati kiswahili chao hakijanyooka na sisi ndio wenye lughaNimekaa uganda
Watu wanaojua kiswahili mostly ni walio uganda mashariki , askari , wazee wa zamani na mipakani mwa tanzania
Ila uganda kati kati kiswahili ni lugha ngeni sana alafu ndipo palipoa na miji mikuu
Kiswahili kinafundishwa mashuleni na ni optional, na wanofundisha mara nyingi ni wakenya kufundisha international students mostly
Sisi sio waashapu mkuu.Halafu inashangaza kimataifa nafasi za kufundisha kiswahili huwa wanapata wakenya wakati kiswahili chao hakijanyooka na sisi ndio wenye lugha
Tunafeli sanaSisi sio waashapu mkuu.
Tupo conserved sana katik utanzania wetu
Ok ... Got itKiswahili kinatumika zaidi ndani ya jeshi la UPDF
Nakubaliana na wewe kuna jamaa tulisoma naye chuo alitokea Uganda Mashariki aliitwa John Wabwire alikuwa anaongea kiswahili kizuri sanaNimekaa uganda
Watu wanaojua kiswahili mostly ni walio uganda mashariki , askari , wazee wa zamani na mipakani mwa tanzania
Ila uganda kati kati kiswahili ni lugha ngeni sana alafu ndipo palipoa na miji mikuu
Kiswahili kinafundishwa mashuleni na ni optional, na wanofundisha mara nyingi ni wakenya kufundisha international students mostly
Sasa usipoomba utapewaje? Hatuna uthubutu, uoga wetu ni wa kiwango cha kutisha ndio maana hata wanasiasa wanatubagaza watakavyo.Halafu inashangaza kimataifa nafasi za kufundisha kiswahili huwa wanapata wakenya wakati kiswahili chao hakijanyooka na sisi ndio wenye lugha
Hakika wanakifahamu hadi kile cha ndani na ushangae wenngi wao sio wabantuNakubaliana na wewe kuna jamaa tulisoma naye chuo alitokea Uganda Mashariki aliitwa John Wabwire alikuwa anaongea kiswahili kizuri sana
Fursa nyingi tunazipoteza ambazo tunauwezonazoSasa usipoomba utapewaje? Hatuna uthubutu, uoga wetu ni wa kiwango cha kutisha ndio maana hata wanasiasa wanatubagaza watakavyo.
Sina.Mjukuu wa Kaguta Museven GENTAMYCINE una lolote la kuchangia kwenye huu uzi??
Possibly sio wote though.Waganda sio wapenzi sana wa kiswahili kama wakenya, wanakinyanyapaa fulani hivi hasa vijana...pia nimeona sio watu wanaowapenda sana wa Tz kama wakenya mkionana abroad.
Nadhani ile vita ya kagera,inasomwa mashuleni na vijana wengi hawapendi ilivoishi Tanzania kushinda,inawasumbua wanapokutana nasi...ni mawazo tu nipo tayari kusahihishwa na kukataliwa.
Umeongea point moja kubwa mno.Sasa usipoomba utapewaje? Hatuna uthubutu, uoga wetu ni wa kiwango cha kutisha ndio maana hata wanasiasa wanatubagaza watakavyo.