Naomba kufahamishwa maana ya 'available slots' TCU

Naomba kufahamishwa maana ya 'available slots' TCU

Joined
Jun 17, 2013
Posts
74
Reaction score
8
Habari za muda huu. Naomba kuuliza kwa anayefahamu vizuri kuhusu maneno haya "available slots" kwenye tcu within selected program
 
Tukulumba tuvayago .twivona pami lau nguluvi iku tangage muyawe. Kamwene
 
that means ni program ambazo zina nafasiii zinahitaji watu bado ukichelewa nazo zinajaa
 
Wuwiii jamani nimeandikiwa you have been selected! Ila hawaonyeshi chuo gani????????
 
Back
Top Bottom