General directory
Member
- Jun 17, 2013
- 74
- 8
tukulumba tuvayago .twivona pami lau nguluvi iku tangage muyawe. Kamwene
Yaan ni nafasi zilizopo ambazo w'funz wanahitajika kuzijaza
kwel umefika form six hujui maana ya available slots?
lakini kumbuka kuuliza sio ujinga,,uliza ucje umbuka bureee..,cha msingi mpe jibu kama unajua
nini maana ya kwenda shule kama maneno AVAILABLE SLOTS linakusumbua?
nini maana ya kwenda shule kama maneno AVAILABLE SLOTS linakusumbua?
Huyu jamaa naona ustaarabu sifuri wala hata usiangaike naelakini kumbuka kuuliza sio ujinga,,uliza ucje umbuka bureee..,cha msingi mpe jibu kama unajua
Hapana chezea kidhungu aiseeee dah ni majangakwel umefika form six hujui maana ya available slots?