Naomba kufahamishwa maana ya internet kwa kiswahili

Naomba kufahamishwa maana ya internet kwa kiswahili

Umerekebisha swali au umerekebisha kichwa cha habari.
sawa,jibu swali liloulizwa
 
Ni maneno mawili
Inter_ingia
Net_lakini sio chandarua
Na sijui wanamaanisha nini wanaposema ingia kwenye net
 
Inter=international
Net=Network
Kwa kiswahili ni "mtandao wa kimataifa wa kompyuta"
 
Back
Top Bottom