Lyaka mlima
Senior Member
- Dec 21, 2017
- 140
- 83
Naomba maana ya internet katika kiswahili
maana yake ni INGIA KWENYE MTANDAONi maneno mawili
Inter_ingia
Net_lakini sio chandarua
Na sijui wanamaanisha nini wanaposema ingia kwenye net
Mkuu hyo mtandao nadhani 'kidhungu' chake ni network na si 'internet'Internenti= mtandao/ wavuti