Naomba kufahamishwa maana ya neno gubu

Kujinunisha mara kwa mara eidha umekasirishwa na mtu au stress binafsi
 
ha ha ha ha ha...mkuu umeambiwa una gubu
 
Hamaliziiii, kama ni usiku hamlali, kama ni mchana akitoka akirudi analo. Neno mlolimaliza juzi likitokea jingine analirudisha hata kama mliombana msamaha. Gubu noma.
Akianza kuongea kitu kuhusu kukwazwa kwake hamalizi anarudia rudia
 
Hamaliziiii, kama ni usiku hamlali, kama ni mchana akitoka akirudi analo. Neno mlolimaliza juzi likitokea jingine analirudisha hata kama mliombana msamaha. Gubu noma.

Yaani watu wa hivi wanabore sanaa😡yaani kama ni mtu mzima hata salamu hapokei hata kumwambia sukari imeisha unajiuliza uanzaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…