Political stability
JF-Expert Member
- Apr 7, 2021
- 906
- 1,401
Dah aisee safi, sema ada yao, imesimamaHawa jamaa wakiajiriwa mishahara yao ni mizuri Sana fikiria mtu anamaliza form four anaenda anapiga zake mwaka moja anaajiriwa tanapa au ngorongoro anaanza na mshahara wa million moja na laki mbili na bado anapewa posho ya Doria kila mwezi.