Naomba kufahamishwa mazingira ya maisha chuo cha MUST

Naomba kufahamishwa mazingira ya maisha chuo cha MUST

MunyetiGB08

Member
Joined
Sep 12, 2014
Posts
86
Reaction score
12
Wakuu habarini za mda huu! Kwanza natanguliza shukran kwenu. Kwa mwenye kufahamu au aliyesoma katika chuo kikuu cha science na techonolojia cha Mbeya na anafahamu juu ya upatkanaji wa hostel au kama kuna hostel zilizo nje na chuo.

Pia hata swala zima la upatkanaji wa chakula ukizngatia hasa kwa mtu wa kipato cha chini. Ahsante karibu kwa mwenye kujua.
 
nasikia mbeya nzima lift moja ni kweli...?! hiki chuo kina lift ? cc Dinazarde
 
Acha woga wa maisha kajifunze kuishi ..juu kwa juu utacope mazngira ..!
 
Wakuu habarini za mda huu! Kwanza natanguliza shukran kwenu. Kwa mwenye kufahamu au aliyesoma katika chuo kikuu cha science na techonolojia cha Mbeya na anafahamu juu ya upatkanaji wa hostel au kama kuna hostel zilizo nje na chuo. Pia hata swala zima la upatkanaji wa chakula ukizngatia hasa kwa mtu wa kipato cha chini. Ahsante karibu kwa mwenye kujua.

Ni PM Ntakuconnect Na Rafiki Yangu Atakupa Maelekezo Yote.
 
nasikia mbeya nzima lift moja ni kweli...?! hiki chuo kina lift ? cc Dinazarde

Ndugu Nature ya Mbeya imepitiwa na bonde la ufa kwa hiyo kuna limit ya ujenzi wa maghorofa huwezi kukuta gholofa za dar es salaam hasa posta..ambazo zinahitaji lift..!!
 
Back
Top Bottom