MunyetiGB08
Member
- Sep 12, 2014
- 86
- 12
Wakuu habarini za mda huu! Kwanza natanguliza shukran kwenu. Kwa mwenye kufahamu au aliyesoma katika chuo kikuu cha science na techonolojia cha Mbeya na anafahamu juu ya upatkanaji wa hostel au kama kuna hostel zilizo nje na chuo. Pia hata swala zima la upatkanaji wa chakula ukizngatia hasa kwa mtu wa kipato cha chini. Ahsante karibu kwa mwenye kujua.
Acha woga wa maisha kajifunze kuishi ..juu kwa juu utacope mazngira ..!