Aise biashara ya duka la rejareja ni biashara ambayo ninaifanya Mimi
Inalipa Sana mkuu mi nipo nayo mwaka wa pili huu lakini imeniinua Sana
Mtaji wa 3.5 Ni mtaji tosha kabisa tena utafanya biashara yako kwa upana zaidi kwa maelekezo haya hapa;
Location:hapa unatakiwa upate eneo lenye watu wengi wenye uhitajowa hudumu ili mzunguko uwe mkubwa
Muuzaji;kwa uhai wa biashara yako mkuu nakushauri muuzaji uwe wewe mkuu yaani hapo sina cha kuongeza
Cha mwisho usikae na hela ya mauzo hakikisha kila hela inayoingia unarudisha kwenye shelfu kwa kununua bidhaa