Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

Naomba kufahamishwa module za Mechanical engineering

Roger Ramer

Member
Joined
Feb 4, 2017
Posts
34
Reaction score
15
Naombeni mnitajie masomo wanayosoma wanafunzi wa mechanical engineering diploma.
 
Workshop technology
Thermodynamic
Fluid
Pneumatic system
Automobile layout
Electrical mashine
Machine element and design
Measurement and digital system
Combustion engine

Umechaguliwa WAP wewe
 
Measurement and control,
Machine elèment,
Ac&refrigeration,
Automotive,
Eng drawing,
Eng mathematics,
Mechanics,
Workshop technology,
Foundry,
Maintenance& industrial mgt
Safi naona mmekuja watabe wa MECH
 
MECHANICAL NDO ENGINEERING PEKEE ILOBAKI NA UWANJA MPANA WA KUAJIRIWA KWA SASA NA HATA UKIJKWEZA KI MATERIAL WAEZA JIAJIRI NA UKAINGIZA MPUNGA WA AJABU
 
fasiliteta;

Mkuu electrical bado inayo uwanja mpana sana kama ubagui mambo na scale ya kazi; mechanical bado inaitaji Mitambo na tools kwa wingi kitu ambacho si rahisi kuzipata mtaani.
Electrical unaitaji testa.. mita...kata na plais
 
MECHANICAL NDO ENGINEERING PEKEE ILOBAKI NA UWANJA MPANA WA KUAJIRIWA KWA SASA NA HATA UKIJKWEZA KI MATERIAL WAEZA JIAJIRI NA UKAINGIZA MPUNGA WA AJABU
Mkuu, wakat unafikiria kuwa unaandika kwa herufi ndogo, ebu hilo neno "pekee" liondoe... maana kijana atajua umekuja kumfariji tuu na sio kumpa ukweli.
 
Solid mechanics, Thermodynamics, machine elements and design, production engineering, measurement and control, engineering drawings
 
Mkuu, wakat unafikiria kuwa unaandika kwa herufi ndogo, ebu hilo neno "pekee" liondoe... maana kijana atajua umekuja kumfariji tuu na sio kumpa ukweli.
Hakuna ubishi Mechanical ipo very wided in Many Applications kuliko kozi nyingnezo. Hakuna Engineer YEYOTE anaweza fanya mambo pasina kuwa na Mechanical Engineer. Kama huijui vizur Mechanical unaweza kurupuka na ukabisha, jamaa wapo ktk ujenz umeme, mitaani ndo kibao.
 
Kabla sijaanza kukutibu, naomba unihakikishie hili... we kwa uelewa wako.. unaamin hakuna kozi ya engineering yoyote yenye fursa nying kuzidi mechanical?
 
Kabla sijaanza kukutibu, naomba unihakikishie hili... we kwa uelewa wako.. unaamin hakuna kozi ya engineering yoyote yenye fursa nying kuzidi mechanical?
civil tu ndo inatoa competition lakin bado mech ipo juu
 
civil tu ndo inatoa competition lakin bado mech ipo juu
Sasa ndo kidooogo unaongea km mtu mwenye uelewaa, labda nianzie hapa....
Huyo jamaa nilimkataza kutumia neno pekee... maana zipo kozi nyingne kama civil, electrical... zina fursa kibaaao, kwahyo ukisema mechanical PEKEE unakuwa umetudanganya..
Turud kwako sasa, husiseme civil tu ndo inatoa competition, mi naweza nikakwambia... mtazamo wako ndo ulipoishia, lakin mtu ukiangalia kwa kina kozi kama electrical... inaipoteza sana hyo mechanical.
 
dogo huamini prospectus ya chuo chako au ni ucompo umekujaa

masomo unayosoma yote yameainishwa kwenye prospectus ya chuo chako , wewe unakuja kuuliza huku
 
Kabla sijaanza kukutibu, naomba unihakikishie hili... we kwa uelewa wako.. unaamin hakuna kozi ya engineering yoyote yenye fursa nying kuzidi mechanical?
Haya bana ni kitu kizur sanaaa

Sema siku ukija jua field ya MECH wala hutokaa ulete ubishi tena.
Narudia tena MECH ndiyo engineering peke ilonaki na uhakika wa kupata ajira,sasa ni VYEMA unafanya kauchunguz hata kwa wakubwa wako waliokutangulia watakueleza kidogo,maana hata wao kabla hawajamalozachuo walileta masihara hayahaya lakin sasa wanauona msoto wake.By the way sikumaanisha kua engineering zimeisha ajira kabisa, isipokua uhitajj unapungua miaka kwa miaka kwa baadhi yake,mathalan TELECOMMUNICATIONS Wakati tupo advance miaka ya 2010 ilikua badp moto,lakin wakati wa kumaliza chuo unajua imeshuka thaman kiasi na hii IPO kwa kozi nyingi tu
 
Back
Top Bottom