Naomba kufahamishwa, mwendo wa gari na utumikaji wa mafuta

Kajeba

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2020
Posts
1,057
Reaction score
2,364
Wakuu

Nahitaji kufahamu uhusiano wa mwendo wa gari na utumikaji wa mafuta

Hivi ukitembea speed kubwa au ndogo ni ipi hapo inatumia mafuta sana?
 
Ninachokifahamu, Gari inatembelea mafuta machache unapotembelea gear ndogo na rpm ikiwa chini ya mbili yote mawili yafanyike kwa pamoja.
 
Spidi ndogo hutumia mafuta kidogo kwa hali ya kawaida ila spidi kuanzia 50 kuendelea gari hutumia nguvu zaidi kupingana na upepo na nguvu za kusukuma matairi na body zima la gari.Ila inategemea na aina ya gari pia
 
shukrani mkuu
Spidi ndogo hutumia mafuta kidogo kwa hali ya kawaida ila spidi kuanzia 50 kuendelea gari hutumia nguvu zaidi kupingana na upepo na nguvu za kusukuma matairi na body zima la gari.Ila inategemea na aina ya gari pia
 
Wakuu

Nahitaji kufahamu uhusiano wa mwendo wa gari na utumikaji wa mafuta

Hivi ukitembea speed kubwa au ndogo ni ipi hapo inatumia mafuta sana?
Kwanza ndugu Kajeba unatakiwa kujua aina 3 za injili zinazo tumia mafuta ni zipi;
1. Spark-ignition gasoline[ injini zenye plug na valve zinazo tumia petrol na hewa]
2. Compression-ignition diesel , injini zenye plunger na nozzel na mgandamizo mkubwa wa hewa zinazo tumia diesel pia kuna
3. hybrid. Hii hutumia mafuta kidogo [petrol] na electric motor kwenye miguu zinazoendeshwa kwa umeme unaozalishwa na injinia ya gari.

Injini zote zinatofautiana mifumo ya uchakataji nishati - mafuta kupata nguvu ya mwendo au kinetic energy.

Injini zinatofautiana uwezo na maumbo ili kutoa matokeo yalikusudiwa na mbunifu wa injini hiyo yaani ...horsepower .

Kwa hiyo swala la kasi ya mwendo sio sababu pekee ya utumiaji wa kiwango cha juu au chini cha mafuta.

Baada ya kujua hayo rudi kwenye swali lako kwa kuzingatia hayo maelezo.
 
ll0Kwanza ndugu Kajeba unatakiwa kujua aina 3 za injili zinazo tumia mafuta ni zipi;
1. Spark-ignition gasoline[ injini zenye plug na valve zinazo tumia petrol na hewa]
2. Compression-ignition diesel , injini zll0 plunger na nozzel na mgandamizo mkubwa wa hewa zinazol tumia diesel pia kunalol
3. hybrid. Hii hutumia mafuta kidogo [petrol] nalllll010 electric motor kwenye miguu zinazoendeshwa kwa umeme unaozalishwa na injinia ya gari.

Injini zote zinatofautiana mifumo ya uchakataji nishati - mafuta kupata nguvu ya mwendo au kinetic energy.

Injini zinatofautiana uwezo na maumbo ili kutoa matokeo yalikusudiwa na mbunifu wa injini hiyo yaani ...horsepower .

Kwa hiyo swala la kasi ya mwendo sio sababu pekee ya utumiaji wa kiwango cha juu au chini cha mafuta.

Baada ya kujua hayo rudi kwenye swali lako kwa kuzingatia hayo maelezo.

Spidi ndogo hutumia mafuta kidogo kwa hali ya kawaida ila spidi kuanzia 50 kuendelea gari hutumia nguvu zaidi kupingana na upepo na nguvu za kusukuma matairi na body zima la gari.Ila inategemea na aina ya gari pia
Gari nyingi zinatumia mafuta vizuri katika speed range ya 70kph mpaka 100kph japo zingine hufika hata 130kph. At low speed gari inakuwa inazungusha gear kubwa hivyo nguvu nyingi zaidi hutumika na mafuta mengi huisha.

Sijajua tu kwenye gari ambazo ni hybrid
 
Umesomeka
 
Upo sahihi, kuna gari ina economy mode na mara zote ipo ON lakini ukienda zaidi ya 120kph inazima.
 
Back
Top Bottom