mabesela
JF-Expert Member
- Mar 14, 2014
- 1,294
- 680
Mmeamkaje ndg zangu wanajamvi, mi ni mkazi wa mjini Mtwara kuna kazi nimepata ya kusupply chakula mahali fulani na mtaji wangu nilionao nao ni sh.milioni 2 wakati unaohitajika ni 8 milioni hivyo kuna upungufu wa 6 milion. Sasa, naomba kufahamishwa nani anaweza kunipa mkopo wa haraka sana ndani ya siku 3 dhamana yangu ni hati ya nyumba (nyumba inathamani ya tsh.40)na ninaweza kuurudisha ndani ya miezi 3 tu. Au benki/ taasis gani inatoa mkopo wa fedha kwa dhamana ya nyumba ndani ya muda mfupi kama ninaouhitaji? Nawasilisha tafadhali.