Naomba kufahamishwa: Ni benki gani naweza kufungua akaunti na nikapata kadi siku hiyo hiyo?

kigogo1ivi

JF-Expert Member
Joined
Jan 15, 2013
Posts
539
Reaction score
340
Samahani Wakuu naomba kufahamu ni Benki gani naweza kufungua akanti na nikapata kadi kwa maana ninapotaka kufungulia akaunti ni mkoa tofauti na ninapoishi nahofia kuiacha alafu baadaye nikalazimika kuingia gharama kuifuata tena
 
samahani wakuu naomba kufahamu ni benki gani naweza kufungua akanti na nikapata kadi kwa maana ninapotaka kufungulia akaunt ni mkoa tofauti na ninapoishi nahofia kuiacha alafu badge nikazazimika kuingia gharama kuifata tena
Equity, BancABC, Barclays
 
ACHANA NA BANK ZA KIBONGO....NENDA EQUITY BANK.
 
Chap Chap limit ni 5M ukisha fikia limit itabid uende na barua tena na kitambulisho kwa ajili ya kuongeza uwezo kitu ambacho ni usumbufu

Nenda Equity Yes Equity hawana longolongo un fungua acc kadi una ipata siku hyo hyo huduma za internet banking + uwezo wa kutumia kadi yako ya visa kufanya miamala online yote hayo yana fanyika siku moja

NMB wanaita chap chap

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crdb wanatoa tembo visa card siku hiyo, cha msingi uwe na kitambulisho cha nida halafu unatakiwa ukifanyie fotokopi nyuma na mbele, otherwise kama hauna cha nida basi waweza tumia cha mpiga kura lakini ni lazima uambatanishe na barua ya mtendaji.
 
vp gharama zao za monthly fee na cash wuthdraw,?? wanachaji sh ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na DTB wapoje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
samahani wakuu naomba kufahamu ni benki gani naweza kufungua akanti na nikapata kadi kwa maana ninapotaka kufungulia akaunt ni mkoa tofauti na ninapoishi nahofia kuiacha alafu badge nikazazimika kuingia gharama kuifata tena
Equity unaisubiria papo hapo na kama ni shabiki wa mnyama chukua simba card

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Crdb wanatoa tembo visa card siku hiyo, cha msingi uwe na kitambulisho cha nida halafu unatakiwa ukifanyie fotokopi nyuma na mbele, otherwise kama hauna cha nida basi waweza tumia cha mpiga kura lakini ni lazima uambatanishe na barua ya mtendaji.
Bank hawana photocopy machine? Kufanya mambo kwa umakini, copy inatakiwa idurufiwe na benki husika ili kuondoa loophole zozote za forgery.
 
Kumbuka Equity daily limit purchases ni 270k tu! Hivyo kama anataka Card kwa ajili ya malipo ya mtandaoni anatakiwa ajaze form tena iwe upgraded kuondoa limits.. Namshauri akachukue Banc ABC au Exim..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…