Simbamteme
JF-Expert Member
- Sep 10, 2011
- 804
- 2,131
Huwa wanaaandika kwenye vidumu hvyo...hyo hawajaandika?Nami niongeze swali
View attachment 486703
Kwa aina hii ya oil
- Je inashauriwa nibadili engine oil kila baada ya kilometer ngapi?
- Fundi mmoja amependekeza km 3,000 na fundi mwingine akasema km 5,000 hivyo nimebakia njia panda.
Aina ya engine ni 2NZ-FE (vvti)
Wajuzi hawaji...wapi mshana jnr jaman..njoo huku,ushaur wako unahitajikaWatakuja wataalamu watakujuza, ndio maana naipenda Jf
Nunua Castrol Oil (namba ya oil inategemea na gari yako) zinapatikana Puma Fuel Stations, au Atlantic Oil, zinaenda hadi 10,000KmsWajuzi hawaji...wapi mshana jnr jaman..njoo huku,ushaur wako unahitajika