Inategemea kabila ya mchumba wako na dini yake, sasa hebu nipe data hizo tukupe ushauriWakuu, poleni na majukumu ya kutafuta Maisha.
Npo mbali na home na Wala siishi home! mzee wangu ashatangulia mbele za haki muda mrefu Sana, nlimweleza mother akaniambia hayo nifanye mwenyewe maana kimila yeye haruhusiwi!Ina maana huko kwenu huna ndugu watu wazima, au ndo ule uchumba wa Instagram?!
Dini- mkiristoInategemea kabila ya mchumba wako na dini yake,sasa hebu nipe data hizo tukupe ushauri
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Una umri gani mpaka usijuwe sheria za ukweni kwenu?Wakuu, poleni na majukumu ya kutafuta Maisha.
Mimi ni kidume, pia staki kabisa kuishi maisha ya kihuni yasiyo na baraka kutoka pande zote mbili, maisha ya kuishi na bibie wangu pasipo kufuata utaratibu maalumu.
Tayari mama yako amekupa muongozo: kimila mama haruhusiwi. Mrudie umuulize kama mama haruhusiwi, ni nani anayeruhusiwa? Utakuwa umepata pa kuanzia.Npo mbali na home na Wala siishi home! mzee wangu ashatangulia mbele za haki muda mrefu Sana, nlimweleza mother akaniambia hayo nifanye mwenyewe maana kimila yeye haruhusiwi!
Kuuliza sio ujinga, Nataka nijazie mambo yaende vzur!
Kumiliki hati ya mbunye sio masiharaš