Naomba kufahamishwa tiba ya sauti kubana.

sirluta

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2012
Posts
6,325
Reaction score
2,491
Sauti yangu huwa inabana hasa nikiongea kwa muda, yaani inakuwa haitoki, inakuwa kama vile imezuiwa na makohozi isitoke. Tiba yake itakuwa ni ipi?
 
Oooh itakua nzuri mi napenda sauti za hivo, usiitibu iache
 
Vunja yai la kuku wa kienyeji unywe, na pia pata chumvi ya mawe uilambe kidogo dogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…