kzba
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,355
- 789
Mimi ni muumini sana wa bidhaa za total na kwa upande engine oil huwa natumia 5w30 ile ya galon la gold, sasa kuna hawa jamaa wa liqui mol huwa wanatangaza sana oil zao na ninashawishika kuanza kutumia bidhaa hizo.
Sasa naomba kwa wenye ufahamu wa bidhaa zao hasa engine oil ubora wake ukoje kwa gari hizi ndogo za petrol yenye cc 2000 6cylinder millage 60000+km?
Naomba kujuzwa ili walau nipate abc za bidhaa hizo.
Sasa naomba kwa wenye ufahamu wa bidhaa zao hasa engine oil ubora wake ukoje kwa gari hizi ndogo za petrol yenye cc 2000 6cylinder millage 60000+km?
Naomba kujuzwa ili walau nipate abc za bidhaa hizo.