True Believer
JF-Expert Member
- Mar 6, 2019
- 586
- 886
Nenda ofisi za TARI unapataSalaam wakuu....!
Samahani wakuu, nilikuwa naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa mbegu hizi za muhogo:-
[emoji419]i. Pwani
[emoji419]ii. Kiroba
[emoji1621][emoji1621]#Location yangu ni LINDI.
Akhasanteni.[emoji1545][emoji1545]
Nashukuru kwa msaada wako mkuu, na mungu atakubariki.Nenda ofisi za TARI unapata
Naliendele nadhani ipo Lindi. Nenda hapoNashukuru kwa msaada wako mkuu, na mungu atakubariki.
-Kwa mkoa wa LINDI, Ofsi zao znapatikana wapi?
Yah... Barikiwa mpaka ushangae mja mwema. Nitafika hapo nikifanikiwa nitakupa feedback mkuu[emoji1545][emoji1545]Naliendele nadhani ipo Lindi. Nenda hapo
Kama uko lindi nenda Naliendele Mtwara watakusaidiaSalaam wakuu....!
Samahani wakuu, nilikuwa naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa mbegu hizi za muhogo:-
[emoji419]i. Pwani
[emoji419]ii. Kiroba
[emoji1621][emoji1621]#Location yangu ni LINDI.
Akhasanteni.[emoji1545][emoji1545]
Nashukuru sana mkuu... Najiandaa kuelekea hko[emoji1621][emoji1621]Kama uko lindi nenda Naliendele Mtwara watakusaidia