Naomba kufahamishwa utaratibu wa kuanzisha Duka la Mbolea na mbegu za mazao

Naomba kufahamishwa utaratibu wa kuanzisha Duka la Mbolea na mbegu za mazao

conservative3

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
1,129
Reaction score
790
Salaam!

Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea.

Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo.

Asanteni.
 
Back
Top Bottom