C conservative3 JF-Expert Member Joined Nov 12, 2013 Posts 1,129 Reaction score 790 Feb 26, 2020 #1 Salaam! Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea. Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo. Asanteni.
Salaam! Naomba kujulishwa aina ya vibali au leseni nitakavyohitajika kuwa navyo nikiwa nataka kuanzisha duka la kuuza mbolea hasa NPK, DAP na Urea. Pia, nitauza na mbegu za mazao mbalimbali ila sitaweka madawa ya mifugo. Asanteni.
dolomon JF-Expert Member Joined Jun 5, 2018 Posts 595 Reaction score 1,230 Feb 26, 2020 #2 Kwanza lesseni ya biashara, pili upate mafunzo ya TPRI,mafunzo ya ASA....vingine watajazia wenzangu nawahi kibaruani. Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza lesseni ya biashara, pili upate mafunzo ya TPRI,mafunzo ya ASA....vingine watajazia wenzangu nawahi kibaruani. Sent using Jamii Forums mobile app