Naomba kufahamishwa utaratibu wa kusajili bajaji ya biashara

Naomba kufahamishwa utaratibu wa kusajili bajaji ya biashara

Matukutuku

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
269
Reaction score
126
Wakuu kwema humu?

Naomba kujua ili chombo chako cha abiria kiweze kuwa barabarani ni vibali gani unatakuwa kuwa navyo na kutoka mamlaka ipi (TRA labda au Manispaa hivii)

Naomba kujua.
 
Kwa aina hiyo ya usafiri (Bajaji) vibali unavyopaswa kuwa navyo ni hivi:-

Number plate
Insurance
Latra

Hadi hapo utakua tayari kutamba huko road.
 
Baada ya kupata plate number nyeupe vinafata vifuatavyo,
Bima 3rd part 141,000 kwa mwaka
Sumatra elf 20 kwa mwaka
Kodi ya Mapato 40 Kila baada ya
miezi mitatu.
Baada ya hapo Bajaj iwe na
triangle, reflector na fire
extinguisher na dereva awe na
leseni hai ya kuendeshea bajaji
ambayo ni A2
 
Back
Top Bottom