Baada ya kupata plate number nyeupe vinafata vifuatavyo,
Bima 3rd part 141,000 kwa mwaka
Sumatra elf 20 kwa mwaka
Kodi ya Mapato 40 Kila baada ya
miezi mitatu.
Baada ya hapo Bajaj iwe na
triangle, reflector na fire
extinguisher na dereva awe na
leseni hai ya kuendeshea bajaji
ambayo ni A2