Naomba kufahamishwa utaratibu wa matibabu ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano Hospitali ya CCBRT

GIRITA

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
4,432
Reaction score
5,864
Habarini wadau.

Naomba kufahamu utaratibu wa matibabu ya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.

Kuna mtu aliniambia kwamba watoto wenye umri huo wanatibiwa bure kabisa hulipi chochote,je? Kuna ukweli wowote?

Kama kuna Mtu yeyote anisaidie utaratibu wa kupata matibabu kwa watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.

Sina mengi zaidi waslamu.
 
Naomba kupata taarifa sahihi wakuu.
 
Vya bure vimeisha, hizo ni siasa, jipange mkatie bima ya afya au ukwende na ela za kutosha
Siasa zinaingiaje?
Bima ipi inafaa?
Hela za kutosha kiasi gani?
 
Kwa ninavyofahamu kama una mtoto mwenye ulemavu wa viungo hasa miguu/mikono imepinda, mdomo sungura n.k huwa wanasaidia kumfanyia matibabu bure

Ila zile gharama za awali za Fomu, kumuona Daktari nafikiri utazi- zibeba

Nashauri Kwa kuwa mambo mengi yamebadirika hivi karibuni, vyema iwapo ungeenda mwenyewe ili kupata taarifa sahihi

Poleni kuuguza
 
Ahsante sana mkuu,ubarikiwe.
 
Siasa zinaingiaje?
Bima ipi inafaa?
Hela za kutosha kiasi gani?
Siasa zinaingia kwa sababu Magufuli alianzisha bima kwa watoto wote na gaharama yaek ilikuwa around sh 55,000 kwa mwaka. Samia kwa roho mbaya akaiondoa na kudai kuwa hakuna fedha. Ila ukweli ni kuwa fedha zipo ila zinatumika kwa mambo ya kifahari ya viongozi wa CCM. Kwa mfano wametenga fedha nyingi sana eti kwa ajili ya makumbusho ya marais wakati watoto wanakufa. Can you believe it? CCRTB wakati wa bima ya Magufuli walikuwa wanatibu watoto kwa kutumia hiyo bima. Na zamani watoto wenye ulemavu wa aina fulani walikuwa wanatibiwa bure. Sasa hivi sijui hali ikoje hivyo subri wenye info zaidi watakupa au wewe mwenyewe kama uko Dar uende kuulizia au ulizia kwa majirani.
 
Naam karibuni

Duh! Ni hatari mkuu.
Kuna watu waliniambia ni bure kutibiwa kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano...ndio maana nikaja hapa kupata uhakika.
 
Hii nadhani ilikuwa ni zamani sana. Sasa hivi nadhani kuna malipo.
 
Ukiwatafuta kwa namba hizi:
+255 (0) 699 990 000 utapata maelezo mengi zaidi
 
Vya bure vimeisha, hizo ni siasa, jipange mkatie bima ya afya au ukwende na ela za kutosha
Ndiyo Ukweli Bwana Bure Hayupo Ndugu Zangu
Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele
 
Back
Top Bottom