Ahsante sana mkuu,ubarikiwe.Kwa ninavyofahamu kama una mtoto mwenye ulemavu wa viungo hasa miguu/mikono imepinda, mdomo sungura n.k huwa wanasaidia kumfanyia matibabu bure
Ila zile gharama za awali za Fomu, kumuona Daktari nafikiri utazi- zibeba
Nashauri Kwa kuwa mambo mengi yamebadirika hivi karibuni, vyema iwapo ungeenda mwenyewe ili kupata taarifa sahihi
Poleni kuuguza
Siasa zinaingia kwa sababu Magufuli alianzisha bima kwa watoto wote na gaharama yaek ilikuwa around sh 55,000 kwa mwaka. Samia kwa roho mbaya akaiondoa na kudai kuwa hakuna fedha. Ila ukweli ni kuwa fedha zipo ila zinatumika kwa mambo ya kifahari ya viongozi wa CCM. Kwa mfano wametenga fedha nyingi sana eti kwa ajili ya makumbusho ya marais wakati watoto wanakufa. Can you believe it? CCRTB wakati wa bima ya Magufuli walikuwa wanatibu watoto kwa kutumia hiyo bima. Na zamani watoto wenye ulemavu wa aina fulani walikuwa wanatibiwa bure. Sasa hivi sijui hali ikoje hivyo subri wenye info zaidi watakupa au wewe mwenyewe kama uko Dar uende kuulizia au ulizia kwa majirani.Siasa zinaingiaje?
Bima ipi inafaa?
Hela za kutosha kiasi gani?
Duh! Ni hatari mkuu.Siasa zinaingia kwa sababu Magufuli alianzisha bima kwa watoto wote na gaharama yaek ilikuwa around sh 55,000 kwa mwaka. Samia kwa roho mbaya akaiondoa na kudai kuwa hakuna fedha. Ila ukweli ni kuwa fedha zipo ila zinatumika kwa mambo ya kifahari ya viongozi wa CCM. Kwa mfano wametenga fedha nyingi sana eti kwa ajili ya makumbusho ya marais wakati watoto wanakufa. Can you believe it? CCRTB wakati wa bima ya Magufuli walikuwa wanatibu watoto kwa kutumia hiyo bima. Na zamani watoto wenye ulemavu wa aina fulani walikuwa wanatibiwa bure. Sasa hivi sijui hali ikoje hivyo subri wenye info zaidi watakupa au wewe mwenyewe kama uko Dar uende kuulizia au ulizia kwa majirani.
Hii nadhani ilikuwa ni zamani sana. Sasa hivi nadhani kuna malipo.Naam karibuni
Duh! Ni hatari mkuu.
Kuna watu waliniambia ni bure kutibiwa kwa watoto walio na umri wa chini ya miaka mitano...ndio maana nikaja hapa kupata uhakika.
Amen 🙏🙏Ahsante sana mkuu,ubarikiwe.
Mungu akutangulie MkuuShukrani,nitawapigia kufahamu zaidi insha Allah.
Ndiyo Ukweli Bwana Bure Hayupo Ndugu ZanguVya bure vimeisha, hizo ni siasa, jipange mkatie bima ya afya au ukwende na ela za kutosha