jacquejaytee
Member
- Jan 20, 2014
- 46
- 27
Habari za Jumatatu wadau. Kichwa cha habari chahusika.
Ningependa kununua nyumba DSM maeneo ya Kigamboni, naomba ufafanuzi wa mambo muhimu ya kuzingatia kabla na wakati wa kununua nyumba ya kuishi.
Nawasilisha.