jacquejaytee Member Joined Jan 20, 2014 Posts 46 Reaction score 27 May 10, 2021 #1 Habari za Jumatatu wadau. Kichwa cha habari chahusika. Ningependa kununua nyumba DSM maeneo ya Kigamboni, naomba ufafanuzi wa mambo muhimu ya kuzingatia kabla na wakati wa kununua nyumba ya kuishi. Nawasilisha.
Habari za Jumatatu wadau. Kichwa cha habari chahusika. Ningependa kununua nyumba DSM maeneo ya Kigamboni, naomba ufafanuzi wa mambo muhimu ya kuzingatia kabla na wakati wa kununua nyumba ya kuishi. Nawasilisha.
No SQL JF-Expert Member Joined Nov 8, 2014 Posts 7,063 Reaction score 12,563 May 10, 2021 #2 jacquejaytee said: Habari za Jumatatu wadau.Kichwa cha habari cha husika. Ningependa kununua nyumba dsm maeneo ya kigamboni,naomba ufafanuzi wa mambo muhumi ya kuzingati kabla na wakati wa kununua nyumba ya kuishi. Nawasilisha. Click to expand... Unataka kununua nyumba ya bei gani? Kununua nyumba ni risk sana bora ujitahid ujenge tu
jacquejaytee said: Habari za Jumatatu wadau.Kichwa cha habari cha husika. Ningependa kununua nyumba dsm maeneo ya kigamboni,naomba ufafanuzi wa mambo muhumi ya kuzingati kabla na wakati wa kununua nyumba ya kuishi. Nawasilisha. Click to expand... Unataka kununua nyumba ya bei gani? Kununua nyumba ni risk sana bora ujitahid ujenge tu
dronedrake JF-Expert Member Joined Dec 25, 2013 Posts 23,901 Reaction score 58,103 May 10, 2021 #3 jenga uza noma ukuta wa udongo, na plasta juu