Naomba kufahamishwa vigezo vya kupanga timu (standings)

Naomba kufahamishwa vigezo vya kupanga timu (standings)

Mkazamoyo

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,495
Reaction score
2,543
Wakuu kuuliza si ujinga je ni vigezo gani hutumiwa na hizi app zinazoenesha livescore (sanasana flashscore) kupanga msimamo wa ligi pale timu zinapokuwa hazijacheza hata raundi moja Yaani zote zina game played 0 na point0? Niimeuliza hivi baada ya kuona msimamo wa ligi yetu kwa msimu mpya ujao unaonesha kwenye top 5 ni

1. Young Africans
2. Simba
3. Azam
4. Mtibwa
5. Mbeya city
then kule mkiani ni
13. Geita gold
14.Namungo
15. Dodoma jiji
16. Mbeya kwanza
But kwa app zingine hupanga kwa alphabetical order ambapo utaona azam, biashara na coastal wanaongoza then kule mkiani unawakuta wakurungwa wa kariakoo simba na yanga wananing'nia
Hii niliona pia kwa ligi zingine kama vile EPL and others

Je, hawa flashscore wao hutumia kigezo kipi haswa? Wajuzi karibuni
 
Kwa kawaida timu hupangwa kwa alphabet before ligi kuanza,, so lazima azam ianze biashara United etc. Lakini kwa upangaji huo wako wewe bila shaka utakuwa mama j fc,, unless utupie ka screenshot cha hao flashscore na sie tuone
 
Mbona dunia nzima hua inakua kwa alfabeti?
 
Back
Top Bottom