Naomba kufahamishwa wauzaji wa CCTV camera bora kwa Kariakoo

Naomba kufahamishwa wauzaji wa CCTV camera bora kwa Kariakoo

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,266
Reaction score
3,698
Habari wakuu,

Naomba kujuzwa anaefahamu maduka ya jumla ya CCTV camera bora kwa bei nafuu Dar es Salaam.

51n0cTlVHkL._AC_UF1000,1000_QL80_.jpg
 
kama upo serious na haujapata nicheck pm nikuunganishe na mtu unafika dukani k.koo unaomgea nae ndo ununue hivyo vitu baada ya kujiridhisha. anapatikana uhuru na nyamwezi.

Mkuu, mie nahitaji zile SAA za ukutani zenye hidden spy camera.
 
UNAI INTERPRISES wapo kariakoo 0693845810

Ukihitaji namba na fundi mzuri sana sana sana

njoo PM nikupe smart fundi anaefanya kazi vyema kabisa
 
Nahitaji hidden camera.
Bei yake,
Sifa zake,
Matumizi.nk.
Zipo kama hizo hapo juu..sifa unafanya both memory record and live streaming na notification za movement..unadownload app yake ..
Matumizi ni ndani/ofisin/chumban/ n.k na mlango...kupata live kwa simu lazima iwe na WiFi ambayo unaunganisha na camera so hata ukiwa mbali inakupa taarifa na live video
 
Back
Top Bottom