malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,266
- 3,698
Mimi mwenyewe nahitaji kufungiwa CCTV CameraWakuu hamnipi msaada
Nakupa noHabari wakuu,
Naomba kujuzwa anaefahamu maduka ya jumla ya CCTV camera bora kwa bei nafuu Dar es Salaam.
Karibu trident hi tech, Wapo city mall 1st floor.Habari wakuu,
Naomba kujuzwa anaefahamu maduka ya jumla ya CCTV camera bora kwa bei nafuu Dar es Salaam.
Check inboxWakuu hamnipi msaada
kama upo serious na haujapata nicheck pm nikuunganishe na mtu unafika dukani k.koo unaomgea nae ndo ununue hivyo vitu baada ya kujiridhisha. anapatikana uhuru na nyamwezi.Habari wakuu,
Naomba kujuzwa anaefahamu maduka ya jumla ya CCTV camera bora kwa bei nafuu Dar es Salaam.
Mimi ninazo za ndani zile za ku-spyView attachment 2694675View attachment 2694678View attachment 2694680
kama upo serious na haujapata nicheck pm nikuunganishe na mtu unafika dukani k.koo unaomgea nae ndo ununue hivyo vitu baada ya kujiridhisha. anapatikana uhuru na nyamwezi.
hizo hana mkuu.Mkuu, mie nahitaji zile SAA za ukutani zenye hidden spy camera.
Hapana mkuu sina saaMkuu, nina uhitaji sana hizi za ndani. Natafuta zile SAA za ukutani, unazo?
Zipo kama hizo hapo juu..sifa unafanya both memory record and live streaming na notification za movement..unadownload app yake ..Nahitaji hidden camera.
Bei yake,
Sifa zake,
Matumizi.nk.
Sina hizo mkuuUna NVR ya njia 8, offer yako kiasi gani?
#YNWA