Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu Hamlashauri ya Wilaya ya Korogwe

Jkl

Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
50
Reaction score
59
Wakuu mimi ni afisa mtendaji Nimepangiwa kazi huko Korogwe vijijini kijiji cha mpale,

Huku nilipo nina biashara zangu bado changa , nataka kuihamishia huko korogwe saiv nipo Dodoma.

Natamani kuyajua mazingira yapoje huko jee naweza kuishi Korogwe mjini alafu niende kazini mpale , pili huko mpale kukoje.

Mwenyeji wa korogwe naomba anijuze?
 
Umepata kazi Tena imekuwa kazi.

Ni kazi kupata kazi, ni kazi kuwa na kazi ,ni kazi kutokuwa na kazi, na kuwa na kazi ni kazi kweli kweli ,yaani Kila kitu ni kazi , watu hatutaki kazi tunataka kupata our living with a very minimal effort.

Huko Kuna wachawi usichukue wake za watu na wanafunzi,pia salimia watu na usiende kwa show off,live low key figure, ishi vizuri na wenyeji. Ni Kijijini kweli.kweli Kuna baridi mno. Fika kwanza uone mazingira ndio ujue uhamishie biashara zako ama la.

Kuna Korogwe girls pamoja na mazinde juu
 
nina kieneo karibu na hospital ya wilaya ya korogwe. Nenda kasome ramani kwanza ujue kipi unaweza fanya. Nitakuwa mgeni wako mkuu
 
Wakuu mimi ni Afisa Mtendaji nimepangiwa kazi huko Korogwe vijijini kijiji cha Mpale,

Huku nilipo nina biashara zangu bado changa , nataka kuihamishia huko Korogwe saivi nipo Dodoma.

Natamani kuyajua mazingira yapoje huko jee naweza kuishi korogwe mjini alafu niende kazini mpale , pili huko mpale kukoje

Mwenyeji wa Korogwe naomba anijuze ?
 
Umepata kazi Tena imekuwa kazi.
Ni kazi kupata kazi, ni kazi kuwa na kazi ,ni kazi kutokuwa na kazi, na kuwa na kazi ni kazi kweli kweli ,yaani Kila kitu ni kazi , watu hatutaki kazi tunataka kupata our living with a very minimal effort.
Huko Kuna wachawi usichukue wake za watu na wanafunzi,pia salimia watu na usiende kwa show off,live low key figure, ishi vizuri na wenyeji. Ni Kijijini kweli.kweli Kuna baridi mno. Fika kwanza uone mazingira ndio ujue uhamishie biashara zako ama la.
Kuna korogwe girls pamoja na mazinde juu
Sawa mkuu ,, ntaenda ncheki mazingira
 
Wakuu mimi ni afisa mtendaji Nimepangiwa kazi huko korogwe vijijini kijiji cha mpale,
Huku nilipo nina biashara zangu bado changa , nataka kuihamishia huko korogwe saiv nipo dodoma.
Natamani kuyajua mazingira yapoje huko jee naweza kuishi korogwe mjini alafu niende kazini mpale , pili huko mpale kukoje
Mwenyeji wa korogwe naomba anijuze ?

Kaage kwenu kabla ujaelekea huko; huwa wanaloga bila hata sababu hicho Kijiji!!!
 
Yaani umepangiwa tu kazi, wewe unawaza biashara zako!! Ngoja ufike kwanza ili tuone namna bora ya kukusaidia.
 
Wapi kuna afadhali kwenye hiyo wilaya ?

Piga tu sala ukiwa hiyo wilaya mpaka Handeni kote ndugu yangu, sio wezi wala, ila wanapenda kuolewa, kuliwa, na kuloga
 
Umepata kazi Tena imekuwa kazi.

Ni kazi kupata kazi, ni kazi kuwa na kazi ,ni kazi kutokuwa na kazi, na kuwa na kazi ni kazi kweli kweli ,yaani Kila kitu ni kazi , watu hatutaki kazi tunataka kupata our living with a very minimal effort.

Huko Kuna wachawi usichukue wake za watu na wanafunzi,pia salimia watu na usiende kwa show off,live low key figure, ishi vizuri na wenyeji. Ni Kijijini kweli.kweli Kuna baridi mno. Fika kwanza uone mazingira ndio ujue uhamishie biashara zako ama la.

Kuna Korogwe girls pamoja na mazinde juu
Dah huko ni vijiji vya mpakani na wilaya ya Lushoto..ni milimani huko na ni umbali wa kama km 30-40 kutoka Korogwe Mjini....
 
Wakuu mimi ni afisa mtendaji Nimepangiwa kazi huko Korogwe vijijini kijiji cha mpale,

Huku nilipo nina biashara zangu bado changa , nataka kuihamishia huko korogwe saiv nipo Dodoma.

Natamani kuyajua mazingira yapoje huko jee naweza kuishi Korogwe mjini alafu niende kazini mpale , pili huko mpale kukoje.

Mwenyeji wa korogwe naomba anijuze?
Karibu Sana Mji WA Korogwe.

Sasa wageni ni wengi
 
Hiyo siyo korogwe mji ni milimani bila shaka.kuwa Makini sana na mabinti wengi ni wepesi sana huko hata akiwa mke wa mtu utasikia ,anakubania pua kuwa sijaolewa mie,korogwe Kuna michezo mingi sana hata ya kutengeneza fumanizi feki kati ya bibi na bwana,.mademu wa huko wakikupenda watakuroga usieudi kwenu au uwe ndondoche wafanye wanachotaka.kwa kifupi huko mademu huwezi tongoza akukatallie mzigo.
 
Back
Top Bottom