Sawa mkuu ,, ntaenda ncheki mazingiraUmepata kazi Tena imekuwa kazi.
Ni kazi kupata kazi, ni kazi kuwa na kazi ,ni kazi kutokuwa na kazi, na kuwa na kazi ni kazi kweli kweli ,yaani Kila kitu ni kazi , watu hatutaki kazi tunataka kupata our living with a very minimal effort.
Huko Kuna wachawi usichukue wake za watu na wanafunzi,pia salimia watu na usiende kwa show off,live low key figure, ishi vizuri na wenyeji. Ni Kijijini kweli.kweli Kuna baridi mno. Fika kwanza uone mazingira ndio ujue uhamishie biashara zako ama la.
Kuna korogwe girls pamoja na mazinde juu
nina kieneo karibu na hospital ya wilaya ya korogwe. Nenda kasome ramani kwanza ujue kipi unaweza fanya. Nitakuwa mgeni wako mk
Pamojanina kieneo karibu na hospital ya wilaya ya korogwe. Nenda kasome ramani kwanza ujue kipi unaweza fanya. Nitakuwa mgeni wako mkuu
Wakuu mimi ni afisa mtendaji Nimepangiwa kazi huko korogwe vijijini kijiji cha mpale,
Huku nilipo nina biashara zangu bado changa , nataka kuihamishia huko korogwe saiv nipo dodoma.
Natamani kuyajua mazingira yapoje huko jee naweza kuishi korogwe mjini alafu niende kazini mpale , pili huko mpale kukoje
Mwenyeji wa korogwe naomba anijuze ?
Wapi kuna afadhali kwenye hiyo wilaya ?
Itabidi nipate mke huko tangaPiga tu sala ukiwa hiyo wilaya mpaka Handeni kote ndugu yangu, sio wezi wala, ila wanapenda kuolewa, kuliwa, na kuloga
Itabidi nipate mke huko tanga
Dah huko ni vijiji vya mpakani na wilaya ya Lushoto..ni milimani huko na ni umbali wa kama km 30-40 kutoka Korogwe Mjini....Umepata kazi Tena imekuwa kazi.
Ni kazi kupata kazi, ni kazi kuwa na kazi ,ni kazi kutokuwa na kazi, na kuwa na kazi ni kazi kweli kweli ,yaani Kila kitu ni kazi , watu hatutaki kazi tunataka kupata our living with a very minimal effort.
Huko Kuna wachawi usichukue wake za watu na wanafunzi,pia salimia watu na usiende kwa show off,live low key figure, ishi vizuri na wenyeji. Ni Kijijini kweli.kweli Kuna baridi mno. Fika kwanza uone mazingira ndio ujue uhamishie biashara zako ama la.
Kuna Korogwe girls pamoja na mazinde juu
Karibu Sana Mji WA Korogwe.Wakuu mimi ni afisa mtendaji Nimepangiwa kazi huko Korogwe vijijini kijiji cha mpale,
Huku nilipo nina biashara zangu bado changa , nataka kuihamishia huko korogwe saiv nipo Dodoma.
Natamani kuyajua mazingira yapoje huko jee naweza kuishi Korogwe mjini alafu niende kazini mpale , pili huko mpale kukoje.
Mwenyeji wa korogwe naomba anijuze?