James07392
Member
- Mar 8, 2019
- 20
- 6
Asante saana mkuu na vipi kuhusu mbegu upatikanaji wakeNi zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).
Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.
Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).
Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.
Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.
Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000
NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu
Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..
Una swali uliza hapa hapa
Mbegu zinapatikana @3000tzs/Kilo,hapa naongelea kwa huku nilipo.asante saana mkuu na vipi kuhusu mbegu upatikanaji wake
Asante saana boss ubarikiwe ..Upandaji ni kwa umbali gani kati ya mbegu na mbegu... Pia kila shimo ni mbegu ngapi zinapandwa......Na vipi soko mfano huku kwetu kansai mkulima akivuna anaenda kuuza kwa walanguzi wanalangua debe efu 30. Kama kuna uwezekano wa kulifuata soko kwa kusafirisha mzigo nahtaji kujua hayo masokoMbegu zinapatikana @3000tzs/Kilo,hapa naongelea kwa huku nilipo.
Pia kuna kipande siku kifafanua hapo juu,kama utalima kwa trekta na ukapanda kufata trekta nyuma ekari moja ya 70x70m itakula mbegu 5-7Kg inategemea wapandaji wanarushaje(hapa inataka utaalamu kidogo kutokana na jembe la trekta linarusha udongo kiasi gani,kumbuka unalima shamba lenye ubichi kwa hiyo udongo umeshikana),kwa udongo mwekundu hua tofauti kidogo
Ni zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).
Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.
Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).
Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.
Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.
Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000
NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu
Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..
Una swali uliza hapa hapa
Ahahah nimecheka hapo ulipoziita wifi. Nadhani tunaziita fiwi.Mkuu mwaka jana mwisho nilichukua shamba heka 10 galapo hapo babati lengo lilikuwa nilime wifi a.k.a ngwara ila mambo yakawa tofauti kwenye bake time yangu hvy nikabadilisha kwa shamba la dengu ndo nimeipanda mwaka huu mwezi wa nane mwishoni hv itatoka, ila mwakani mungu akipenda nalima hiyo kitu.
Ahahah nimecheka hapo ulipoziita wifi. Nadhani tunaziita fiwi.
Tulilima sana kwenye bustani za nyumban miaka hiyo maeneo ya Dodoma. Tulitumia kama mboga tu na nilikuwa nazipenda sana.
Namna ya upandaji ni wewe mwenyewe utavyopendelea,mimi hua napendelea mstari na mstari 1m,shimo kwa shimo 1m(ingawa haiwezi kua precise 100%),Mbegu kwa kila shimo naweka 2 au 3(uki maintain vizuri hapa eka moja kwa jembe itakula kilo 2.5 - 3 ----ijumaa nimepanda eka 14.5 kwa kilo 40).Asante saana boss ubarikiwe ..Upandaji ni kwa umbali gani kati ya mbegu na mbegu... Pia kila shimo ni mbegu ngapi zinapandwa......Na vipi soko mfano huku kwetu kansai mkulima akivuna anaenda kuuza kwa walanguzi wanalangua debe efu 30. Kama kuna uwezekano wa kulifuata soko kwa kusafirisha mzigo nahtaji kujua hayo masoko
Ni zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).
Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.
Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).
Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.
Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.
Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000
NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu
Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..
Una swali uliza hapa hapa
Mimi ni mkulima tuu mkuu,uliza hapa kama nnalijua kwa ufasaha ntakujibu vizuriMkuu habari yako naomba kujua kuusu iyo ngwara my no 0716606016 ipo Whatsapp
Inaota,ila kwa shida,kama Dodoma wanalima..,Pwani kwa mfano mabonde ya mto Ruvu na Wami ambayo wanalima mpunga inaota vizuri tuu,swala ni timing ya unyevu wa chini na udongo,ila kwa mavuno ya uhakika lima kuanzia urefu wa 750m kutoka usawa bahari(hii ina ku guarantee moisture ya kuhakikisha mmea unatoa majani haraka kabla ardhi haijawa kame)Je kwa mikoa ya joto hii fiwi inastawi?
Kama pwani
Ni zao jamii ya mikunde,hali hitaji mvua wala maji,linahitaji ardhi yenye unyevu nyevu wa kuweza kuotesha tuu wakati wa kupanda ili iweze ku germinate,hupigwa dawa kwa ajili ya wadudu waharibifu mara 1 mpaka 3 kutegemeana na wadudu husika(dawa hupigwa kuanzia week ya 2 baada ya kuota katika shina),huota kwenye mwinuko wowote kuanzia 0-2400m kutoka usawa wa bahari na ardhi iliyopata mvua kuanzia 750mm+ kwa mwaka,mara nyingi maeneo yenye irrigation wakishatoa mazao ya mwanzo hufaa sana (eg mashamba ya mpunga).
Huchukua siku 60-70 kuanza kuzaa(pods) na siku 90 kuanza kukauka,mpka kuvuna huweza kufika mpaka siku 150+.(hapa hutegemea kama ardhi ilikua mbichi sana hua haizai/kutoa maua mapema,wakati mwingine kama ikipata maji zaidi sumu ya kuua majani kidogo hutumika ili kuilazimisha pods zikomae mapema),wakati mwingine unaweza vuna mvuno wa kwanza unaipa unyevu kidogo tena itazaa tena mara ya 2.
Ekari moja ya 4900m² huzaa kutokana na timing ya upandaji na matunzo na huweza kutoa gunia mpka 10(matunzo mazuri sana),ila mara nyingi kibongo bongo hua ni 4-8(gunia lina kilo 100).
Bei hutegemeana na soko la wakati huo inaweza fika mpaka 4000tzs kwa kilo moja.
Kwa sasa kilo ni 3000tzs ila tunapo elekea itafika 5000tzs.
Maeneo mazuri ni Arusha,Kilimanjaro,Manyara na Mbeya na maeneo yanayoyazunguka mikoa hii.
Gharama:
Shamba @50,000/=
Sumu ya kuua majani(badala ya kuingiza trekta) @12,000/=
Kupiga dawa bomba 2@5,000
Maziwa ya wapiga dawa 2 Lita 2
Pump utakodi 2 @3000
Kupanda @30000
OR
Ukilima kwa trekta @40,000/=
Kupanda nyuma ya trekta @5000
OR
Kupanda kwa jembe @25,000
NB:Nnavyo changia uzi huu nipo shambani napambana na eka 50 katika mkoa wa Manyara,Babati,kijiji cha Magugu
Kuna kampuni walitaka Tani 2000(kilo 2,000,000) na sijui kama itapatkana tena kwa bei mtayokaa mezani..
Una swali uliza hapa hapa
Njoo PMKaka samahani, naomba namba yako nukuulize swali kuhusiana na zao hili kwasababu Mimi pia npo kwenye harakat ya kulima zai hili