Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu kilimo cha zao la Ngwara

 
Mkuu
Mimi ni mkulima tuu mkuu,uliza hapa kama nnalijua kwa ufasaha ntakujibu vizuri
Hapo Magugu ,Ni biashara gani naweza kuja kufanya niwahudumie Makabaila na Mabepari wa hapo! Msipate shida kwenda Babati au Arusha
 
Mkuu hii kitu maeneo ya Arusha Maji ya Chai inafaa? Mbolea na palizi sijakusikia kuongelea....
 
Wazee was Magugu tuambiane kuhusu Bei na soko.la ngwara aka wifi.mwaka huu
 
Vipi mbegu inapatikana wapi na Bei yake ikoje; sijaona kwenye mchanganup wako kiasi cha mbegu.

Kwa Manya mda mzuri wa kupanda ni mda gani?
 
H Hiyo sumu ya kuuwa majani inaitwaje na inatumikaje mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…