Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu Toyota Run X

Naomba kufahamishwa zaidi kuhusu Toyota Run X

Sharo b

New Member
Joined
Dec 16, 2021
Posts
1
Reaction score
1
Naomba kufahamu ubora wa hiyo gari tajwa hapo juu katika mambo ya ulaji wa mafuta pamoja na stability barabarani na ipi engine
 
Ni Toyota.. Reliable..!
Engine ukipata 2ZZ utaenjoy.. Engine moja inapenda kurev sana.. Redline 8000rpms..

Engine mlio wa sports car.. Nguvu ya kutosha..!
 
Back
Top Bottom