Naomba kufahamishwa..

Naomba kufahamishwa..

Mvina

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2009
Posts
998
Reaction score
34
Kuna ndugu yangu anafikiria kuacha kazi ila anapata utata kwasababu anataka kuacha mshahara wa mwezi husika. Sasa ili aweze kuacha mshahara wa mwezi husika anatakiwa awe amafanya kazi siku ngapi ktk mwezi husika? Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom