Mvina JF-Expert Member Joined Aug 2, 2009 Posts 998 Reaction score 34 Oct 15, 2011 #1 Kuna ndugu yangu anafikiria kuacha kazi ila anapata utata kwasababu anataka kuacha mshahara wa mwezi husika. Sasa ili aweze kuacha mshahara wa mwezi husika anatakiwa awe amafanya kazi siku ngapi ktk mwezi husika? Nawasilisha.
Kuna ndugu yangu anafikiria kuacha kazi ila anapata utata kwasababu anataka kuacha mshahara wa mwezi husika. Sasa ili aweze kuacha mshahara wa mwezi husika anatakiwa awe amafanya kazi siku ngapi ktk mwezi husika? Nawasilisha.