Kitambi - tazama kwenye kamusi neno 'belly'
Kinyesi - tazama kwenye kamusi maneno 'dung' na 'feases'
Ugali - tazama kwenye kamusi maneno 'stifle porridge' lakini pia huitwa 'ugali' (soma yugali)
Sambusa - tazama kwenye kamusi neno 'samosa'
Lakini nikutahadharishe kwamba majina yahusianayo na vyakula ni vigumu kupata tafsiri ya moja kwa moja hasa kama chakula hicho hakitumiwi kabisa na wanalugha hiyo inayotoa tafsiri. Mavazi na chakula ni sehemu ya utamaduni wa jamii hivyo kama hakuna muasala wa moja kwa moja baina ya jamii mbili si rahisi kukuta jaina la vazi au chakula fulani kwenye lugha hiyo.
Hivyo ndivyo nilivyoweza kuchangia, na ninawasilisha!