BASANORARE JF-Expert Member Joined Feb 6, 2013 Posts 309 Reaction score 256 Jan 3, 2014 #1 naomba kufahamishwa kuhusu madhara ya kupenda kula karanga mbichi mara kwa mara
nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Jan 3, 2014 #2 basanorare said: naomba kufahamishwa kuhusu madhara ya kupenda kula karanga mbichi mara kwa mara Click to expand... inategemea na umri pia jinsia kama umri wako ni mkubwa zitetengeneza uric acid ambayo ina madhara kwa afya
basanorare said: naomba kufahamishwa kuhusu madhara ya kupenda kula karanga mbichi mara kwa mara Click to expand... inategemea na umri pia jinsia kama umri wako ni mkubwa zitetengeneza uric acid ambayo ina madhara kwa afya
Iyokopokomayoko JF-Expert Member Joined Sep 15, 2011 Posts 1,785 Reaction score 442 Jan 3, 2014 #3 hazina madhara.