Naomba kufahamishwa

Naomba kufahamishwa

luckers

Member
Joined
Jan 6, 2013
Posts
64
Reaction score
2
natanguliza shukuran zangu za dhati kwenu kwani hii ni.sehemu.pekee nayowezaa kuongea kuthubutu kuongea kwa ujasir
hoja:naomba kufahamishwa ni njia gani ni rahisi kutuma pesa brasil kwani kuna ndugu yang uko nataka aninunulie sd card maana yang imekuwa DEMEGED sasa kaniambia 16 GB ni shilling REAL 20 za brasil na nikiexchange na uku kwetu inakuwa kama 14,754 tz shilling sasa naona kuna unafuu tatizo ni njia gani ya kuzituma izo pesa
asanten na mungu awabarik
 
kati ya money gram na western union naomba maelezo kuhusu apoo
 
Back
Top Bottom